Huyu bibi CCM damu damu

Kwa umri alionao sio rahisi kubadilika; bila ya shaka anaamini Nyerere bado yu hai!!
 
Kuanzia vijana mpaka wazee kama hawa wanaujua umuhimu wa ccm!!
 
Hata yeye alikuwa kama sisi,na hata sisi tutakuwa kama yeye.
 
sina tabia ya kudharau wazeee lakini kwa huyu bibi huu ushabiki umepitiliza .ccm wamempa nini huyu bibi jamani siyo bure.
 
mungu amlaze pema pepon kama sikosei alikufa mwaka juz alikua anakaa ukonga mazizini
 
Ndo wanaokiwezesha chama hawa,hapo kashika roho ya chama ukimuondoa huyo....Finish umeondoa na chama octber-25.
 
Bila hzo nguo angekua uchi mana alikuja hapo mkutanon uch wa binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…