Kiherehere chake kitamponza siku sio nyingi huyu mwanamke......kaingia choo cha kiume so uko ata kutana na wakina NITONYE kama mia hivi apo ndipo atakapojua nini maana ya kuwatumikia mafisadi na nini maana ya kuwatumikia waliokuchagua.......
Kumbuka ana machungu ya mume wake kufanyiwa hujuma na hatimaye kuangushwa na Januarijamani wana JF najua humu kuna watu waelewa sana, hivi huyu beatrice shellukindo anamlengo gani? i mean ndani ya CCM anamatakwa gani? adui zake ni nani? je baba yke aliwah kuwa nani? na yeye alikua ndani ya Chama. na je huyo beatrice shllkndo yupo katika kambi ya nani? km nliskia hv eti alitaka kuongeza auasi.
Kumbuka ana machungu ya mume wake kufanyiwa hujuma na hatimaye kuangushwa na Januari
beatrice matumbo shellukindo - kisemeo cha lowassa
mume wake ni nani?