Huyu Babu Mwanga nini?

dhu Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu pema. Amina.

inasikitisha sana jamani.
 


Mkuu wakati mwingine haohao vibaka akiona amezidiwa anajifanya kama kachanganyikiwa!!! Wachawi wapo hata watoto!!! Whether amechanganyikiwa au la....lakini suppose wewe PASCO unakutana naye nje ya nyumba yako...first impression yako nini???? (think beyond the box)
 
Kweli ni nyumba ya waziri...tena aweza kuwa wa awamu iliyopita maana wanavuna pesa kama nini... Ebu angalieni vigae vilivyotandazwa nje kila kona... Kwanini mlalahoi asione kama mahali pa kupumzika....ndo maana kapagawa akili.
 
Hapo Tanganyika hakuna Serikali ila pana SIRIKALI. Mpaka kije chama kingine kutawala ndipo kutakuwa na Haki za Binadamu na Serikali itakuwepo yenye haki za binadamu.

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…