Huyu baba ni majanga

Huyu baba ni majanga

Daisy Llilies

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
1,017
Reaction score
2,163
Ana mtoto mmoja tu wa kiume, alimsomesha Ulaya. Mtoto amerudi na mchumba wa kizungu baba amemwambia ni vizuri aoe mbongo.

Baba ametafuta mchumba kumbe ni ka mchepuko kake. Baada ya harusi mkwe amegoma kutoa kwa baba mkwe.
 
Ewaaah ni nzur sana hiyo yani kuna member unashangaa anakumbuka comment zako za mwaka elf 20 ila wewe mhusika hukumbuki
.. Sky ana appear Sana.. kwenye Timeline yangu..
 
Inafurahisha sana.....inaonekana mzee ana mali nyingi na alitaka yule anayetumia mali zake angalau awe amempitia.
 
Ana mtoto mmoja tu wa kiume, alimsomesha Ulaya. Mtoto amerudi na mchumba wa kizungu baba amemwambia ni vizuri aoe mbongo.

Baba ametafuta mchumba kumbe ni ka mchepuko kake. Baada ya harusi mkwe amegoma kutoa kwa baba mkwe.

Hamna namna hii kitu ikatengenezewa muvie/tamthilia?
 
Back
Top Bottom