😂Picha iko wapi sasa
Labda mke wa Prince
Mke wa RidhiwaniNdie amekuwa mtu wa kwanza kutoa salamu kwa Membe kwa niaba ya kundi la wake wa viongozi linaitwa Millenium?
Je ni mke wa Kikwete kama ni mke wa Kikwete Kikwete ana wake wangapi?
Je ni mwanae Kikwete kama ni mwanae kwanini awe kwenye group la wake wa viongozi?
Je ni mke wa kiongozi ngani haswa hadi awe kwenye group la wake wa viongozi?
Kwa anayejua hili atujuze
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 2621335View attachment 2621336View attachment 2621339
View attachment 2621367
Asante sana kwa maelezoHuyu ni mke wa Ridhiwani,kaongea kwa niaba ya kikundi cha wake wa viongozi. Wake wa mawaziri na manaibu waziri wana chama chao kinaitwa Millenium group