Huwezi kuwa na iPhone 13 ukazuga unapiga simu isipokelewe, hiyo itakuwa copy

instagram

JF-Expert Member
May 27, 2014
2,091
4,716
Kuna mdada kaingia kwenye mwendokasi kakosa siti kasimama. Safari imeanza kaona watu wanamuangalia (ana nyigu), katoa iphone inayofanana na 13 kajaribu kupiga mara 3 haipokelewi kaamua kuingia social media.

1. Una simu ya 3m uko mwendokasi
2. Una simu ya 3m unapiga hupokelewi

Red flags hiyo simu ni kopi.
 
Kuna mdada kaingia kwenye mwendokasi kakosa sisti kasimama. Safari imeanza kaona watu wanamuangalia (ana nyigu), katoa iphone inayofanana nq 13 kajaribu kupiga mara 3 haipokelewi kaamua kuingia social media.

1. Una simu ya 3m uko mwendokasi
2. Una simu ya 3m unapiga hupokelewi

Red flags hiyo simu ni kopi.

Hata kama ni kopi, ulimp wewe?
 
Ukikua utaelewa....
 
Kuna mdada kaingia kwenye mwendokasi kakosa siti kasimama. Safari imeanza kaona watu wanamuangalia (ana nyigu), katoa iphone inayofanana na 13 kajaribu kupiga mara 3 haipokelewi kaamua kuingia social media.

1. Una simu ya 3m uko mwendokasi
2. Una simu ya 3m unapiga hupokelewi

Red flags hiyo simu ni kopi.

Kama huu uzi ni wa mtoto wa kiume utanisikitisha sana. Maisha ya watu yanakuhusu nini?
 
Kuna mdada kaingia kwenye mwendokasi kakosa siti kasimama. Safari imeanza kaona watu wanamuangalia (ana nyigu), katoa iphone inayofanana na 13 kajaribu kupiga mara 3 haipokelewi kaamua kuingia social media.

1. Una simu ya 3m uko mwendokasi
2. Una simu ya 3m unapiga hupokelewi

Red flags hiyo simu ni kopi.
UNAA huu,fanya yako.Yasiyo yako yaache.
 
Kuna mdada kaingia kwenye mwendokasi kakosa siti kasimama. Safari imeanza kaona watu wanamuangalia (ana nyigu), katoa iphone inayofanana na 13 kajaribu kupiga mara 3 haipokelewi kaamua kuingia social media.

1. Una simu ya 3m uko mwendokasi
2. Una simu ya 3m unapiga hupokelewi

Red flags hiyo simu ni kopi.
1. Ili upande mwendokasi unatakiwa uwe na simu ipi?
2.Kwamba unaowapigia inatokea msg 'hii ni simu ya 3m lazima upokee'?
 
Back
Top Bottom