Brayan_Jk
Senior Member
- Mar 28, 2025
- 187
- 197
Huwezi kuboresha usichopima! 💡
Moja ya changamoto kubwa kwa wafugaji wengi wa kuku ni kutokuweka kumbukumbu sahihi. Unanunua chakula kila wiki, unauza mayai kila siku, na unachoma chanjo mara kwa mara lakini unajua kweli kama unapata faida au hasara? 🤔
Hapo ndipo Fuga App inapokuja kutoa msaada! 📱
Kupitia Fuga, unaweza kuweka kumbukumbu za kila matumizi kuanzia gharama za chakula, dawa, hadi mauzo yako ya kila siku. App inakusaidia kuona kama unapata faida au hasara, na hivyo kukupa mwongozo wa kuboresha zaidi bila kubashiri!
Kuweka kumbukumbu nzuri kunakusaidia:
✅ Kujua kama biashara yako inakuletea faida au hasara
✅ Kupanga bajeti vizuri kwa chakula na dawa
✅ Kugundua changamoto mapema na kuchukua hatua
✅ Kujenga biashara endelevu ya ufugaji
Kumbuka, namba hazidanganyi zinakuongoza!
Update toleo jipya la Fuga App (v2) lenye muonekano bora zaidi na ripoti ya faida/hasara ili utupe mrejesho wa maboresho zaidi. 🚀
📲 Pakua sasa hapa: Fuga - Apps on Google Play