samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 360
- Thread starter
- #21
Hao ndio ma dk wetu wa dot com. inatakiwa kufanyiwa uchunguzi na mtu zaid ya 1 ili kujiridhisha.
thats correct!!!
Hao ndio ma dk wetu wa dot com. inatakiwa kufanyiwa uchunguzi na mtu zaid ya 1 ili kujiridhisha.
Uja uzito wa miezi nane halafu mwenye ujauzito hajahisi chochote? ..yaani hata huyo kiumbe tumboni alikuwa hajigeuzi geuzi? Yaani mwenye mimba hajahisi chochote?..daah!.. amakweli nchi hii ina watu wa kila aina!..miezi nane?