samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 360
Nduguyo alienda kwa daktari au mganga wa kienyeji?naomba kushirikishana juu ya kuzingatia afya zetu najuu ya kumuamini dactari mmoja, hapa Morogoro mjini, ninandugu yangu alipimwa na dactari na kuambiwa anauvimbe mkubwa tumboni, amefanya checkup mara tatu na dactari huyohuyo nakuambiwa majibu yaleyale, akapewa apointment ya kufanyiwa upasuaji, kilaalipopangiwa dr alipata dharura zaidi ya miezi 5 hukuuvimbe ukikua kwa kasi, ndipo alipoamua kwenda dar kwa upasuaji, walipo mpima wakamwambia hana uvimbe ni ujauzito wa miezi 8, nakwakuwa umri wake ulikuwa umeongezeka, hakushtuka pamoja hakuona siku zake. je huyu docta alitaka kuua kiumbe kisicho na hatia? au ni taaluma ndogo? USHAURI WANGU UNAPOFANYA UCHUNGUZI JUU AFYA YAKO HUDHURIA HOSP TOFAUTI ILI KUJUA UKWELI WA TATIZO LAKO NA TIBA SAHIHI. Tunamshukuru mungu mtoto anaumri wa miezi 11.
Nduguyo alienda kwa daktari au mganga wa kienyeji?
mganga tabibu au....?
naomba kushirikishana juu ya kuzingatia afya zetu najuu ya kumuamini dactari mmoja, hapa Morogoro mjini, ninandugu yangu alipimwa na dactari na kuambiwa anauvimbe mkubwa tumboni, amefanya checkup mara tatu na dactari huyohuyo nakuambiwa majibu yaleyale, akapewa apointment ya kufanyiwa upasuaji, kilaalipopangiwa dr alipata dharura zaidi ya miezi 5 hukuuvimbe ukikua kwa kasi, ndipo alipoamua kwenda dar kwa upasuaji, walipo mpima wakamwambia hana uvimbe ni ujauzito wa miezi 8, nakwakuwa umri wake ulikuwa umeongezeka, hakushtuka pamoja hakuona siku zake. je huyu docta alitaka kuua kiumbe kisicho na hatia? au ni taaluma ndogo? USHAURI WANGU UNAPOFANYA UCHUNGUZI JUU AFYA YAKO HUDHURIA HOSP TOFAUTI ILI KUJUA UKWELI WA TATIZO LAKO NA TIBA SAHIHI. Tunamshukuru mungu mtoto anaumri wa miezi 11.
sihitaji kumtaja jina, ni dr bigwa wa magonjwa ya wanawake, na ni maarufu hapa moro
Muumbue tu mkuu.sihitaji kumtaja jina, ni dr bigwa wa magonjwa ya wanawake, na ni maarufu hapa moro
sasa ukishasema hivi mbona tunamjua, gynacologist yupo mmoja tu, labda kama amehamia hivi soon, na kwakuwa umesema ni maarufu basi huyo si mwingine ni Dr Lyamuya. Anajifanya anajua sana, hataki wenzake wapractice instead anawambia wakasome, wakati nipo intern niligombana sana coz alikuwa hana shule. I know her. Anapenda sana ccd
Mhhh huyo mgonjwa ni mara yake ya kwanza kushika mimba?
Aisee ! Poleni , mbaya sana hii. Hawa madakitari wa siku hizi ni tatizo sana.unajua hawa ndugu i mean drs huwa wananichanganya sana, miezi 4 iliyopita, niliweka bandiko juu ya mke wangu, akiwamjamzito alitokwa na damu nikaomba ushauri hapa nikampeleka hosp, akapigwa utrasound tukiwa wote kwa dr alicoment mimba imeharibika anatakiwa kusafishwa, mimi sikukubaliana na zoezi la kusafishwa, tukakaa kama mwezi mwingne aftercheckup akaonekana ana mimba ya miezi 4 na mtoto anaafya njema, hadinavoandika nategemea kupata mtoto mwezi wa 6, kwahiyo alitaka kuua mwanangu? sometimes i dont trust Drs.
Aisee ! Poleni , mbaya sana hii. Hawa madakitari wa siku hizi ni tatizo sana.
dr bigwa wa magonjwa ya wanawake