Huwa nafanya kwa kuiga ila sijui kwanini…

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
1,856
4,787
Ndugu zangu

Kabla ya kununua nazi huwa tunazitingisha karibu na sikio katika harakati za kuchagua.

Huwa tunasikiliza mlio wa aina gani?? Mwenzenu huwa nafanya tu halafu naishia kuchagua kubwa naondoka.

Naombeni ujanja.
 
Mtikisiko ni directly proportional na utamu wake
 
Mimi huwa nanunua Sana madafu...
Cha kushangaza unakuta muuza dafu kila ukiuliza dafu anajifanya anatafuta Kwa kugonga gonga...wakati hayo madafu kashinda nayo toka asubuhi...
Ule ni usanii wanafanya
😁😁😁
 
Kama gunakuwa gutamu hugo gukubwa uligoguchagua baada ya kugupitia kugutikisa gudogo,tuendelee na huo mtindo hauna shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…