Huu Wimbo Wa CCM Ni Wa Kichochezi,Udini,Ukabila Unaimbwa

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,841
Ni ukweli usiojificha kuwa,Yapo maisha baada ya uchaguzi.
Huyu Khadija Kopa anaimba nyimbo za kuisifu Ccm hapo hapo anaweka uchochezi kwa kusema"Wapinzania ni wadini na wakabila.
Hivyi maneno hayo yanawafunza nini watanzania?
Hivi ikulu tu ndio tunakubali inatugawa kwa kiwango hicho?
Tume pigeni marufuku huu wimbo mapema ni wa kichochezi sana.Naona kila ukiibwa Jakaya anapiga makofi na kuufurahia tu.
 
Back
Top Bottom