Wakuu kuna huu wimbo wa bendi ya lucky dube wa CELEBRATING HIS LIFE nimeshindwa kujua kitu,hivi ile sauti inayosikika mbona ni ya lucky dube kabisa,na je yule jamaa anaeoneshwa kwenye video kama major actor mbona anafanana na lucky dube ni nani yake?