Hapo ndo tofaut ya kiba na platnumz, kiba miziki yake mingi bado ikipigwa hata miaka kumi ijayo utahisi ladha ileile ya mwanzo kiufup miziki yake inaishi, bt anapokosea ni jinsi ya kujikita na kuinvest heavily kwenye music industry which is very competitive ie. hana mbinu thabit za kushindana kibiashara
Mondi nyimbo zake zinawah kuchuja, bt anajua jinsi ya kuziingiza sokon, video ya uhakika na Promo za kutosha yan ukiisikia kwa mara ya kwanza utaona mbaya bt as days go utaipenda coz video nzuri na inapigwa pigwa redion kila saa bt baada ya miez michache unaanza kuona haina mvuto kivile though anazo chache ambazo naamin zitaishi pia, eg. ukimuona, huu wimbo japo hauna video bt ni bonge la hit yan naufil had kesho n naamin vizazi vijavyo wataukuta kwenye utamu ulele