Huu uvaaji wa Millard Ayo kwenye msiba wa Gardner umenishangaza sana

Yani kabisa hupo serious hujaona maajabu. He is not a teenager. Ilitakiwa atinge suti.
• Aliyekuambia kwenda msibani lazima uvae suti ni nani 🤒🤒???

• Na ni nani Aliyeazisha huu utaratibu wa kuvaa suti msibani?? 🤔🤔
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom