Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Oct 9, 2014 #2 Jamani,jamani!!!!!!huyo ni Le Mutuz au nini???
B Blue sky Member Joined Feb 1, 2014 Posts 51 Reaction score 19 Oct 9, 2014 #3 Mbona huyu jamaa kama namfahamu vile!!.....Huyu c ndo yule anaanika Shati kwenye VITZ na linatosha???
Mbona huyu jamaa kama namfahamu vile!!.....Huyu c ndo yule anaanika Shati kwenye VITZ na linatosha???
S Showme JF-Expert Member Joined Apr 27, 2014 Posts 1,257 Reaction score 504 Oct 9, 2014 #5 Sijui kwa nn anafanyiwa hivi huyu wakati anaishi maisha yake!!
Nanaa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,893 Reaction score 3,711 Oct 9, 2014 #6 Zamda Geuka said: Sijui kwa nn anafanyiwa hivi huyu wakati anaishi maisha yake!! Click to expand... Wajukuu hao wanacheza na babu yao...babu mwenyewe hajui kuweka mipaka basi ndo wajukuu wanaingiza mikono hadi ndani ya msuli...
Zamda Geuka said: Sijui kwa nn anafanyiwa hivi huyu wakati anaishi maisha yake!! Click to expand... Wajukuu hao wanacheza na babu yao...babu mwenyewe hajui kuweka mipaka basi ndo wajukuu wanaingiza mikono hadi ndani ya msuli...
Babeake JF-Expert Member Joined Aug 28, 2014 Posts 465 Reaction score 159 Oct 9, 2014 #7 Kim nana said: Wajukuu hao wanacheza na babu yao...babu mwenyewe hajui kuweka mipaka basi ndo wajukuu wanaingiza mikono hadi ndani ya msuli... Click to expand... haaaaaaaaaaa...ndani ya msuliii....
Kim nana said: Wajukuu hao wanacheza na babu yao...babu mwenyewe hajui kuweka mipaka basi ndo wajukuu wanaingiza mikono hadi ndani ya msuli... Click to expand... haaaaaaaaaaa...ndani ya msuliii....
Sonia G JF-Expert Member Joined Jul 13, 2014 Posts 3,081 Reaction score 3,940 Oct 9, 2014 #8 Mjini hapa ukichukiwa yaani vioja vyake ni hatari maana ni zaidi ya vya wakwe au mama wa kambo
M mugajamii JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 859 Reaction score 491 Oct 9, 2014 #9 Utadhani kammeza mwanae au kazuia matapishi.
Omygad JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 632 Reaction score 278 Oct 9, 2014 #10 U knw imekuaje tena
S Showme JF-Expert Member Joined Apr 27, 2014 Posts 1,257 Reaction score 504 Oct 9, 2014 #11 Kim nana said: Wajukuu hao wanacheza na babu yao...babu mwenyewe hajui kuweka mipaka basi ndo wajukuu wanaingiza mikono hadi ndani ya msuli... Click to expand... Aah ujukuu huu umevuka mipaka jamani,aachwe nae.
Kim nana said: Wajukuu hao wanacheza na babu yao...babu mwenyewe hajui kuweka mipaka basi ndo wajukuu wanaingiza mikono hadi ndani ya msuli... Click to expand... Aah ujukuu huu umevuka mipaka jamani,aachwe nae.
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,397 Reaction score 88,667 Oct 9, 2014 #12 You Know kama vp Instagram mjipange kwa sasa nipo Cyber Crime senterooooo!!