Huu ukweli hata shetani anaujua

Yellow bone

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2017
Posts
256
Reaction score
330
Mwanaume ukimtegema mwanamke basi umeuza mamlaka ya uanaume wako kwa mwanamke ..Ni kama story ya isaka na Yakobo kwa wale wakristo ndan ya biblia.....
Vijana amkeni..fanyeni kazi muhudumie wake zenu na familia zenu...
mwanaume wa kweli hayumbishwi na khar yoyote.mpambanaji,anajitegemea kimaamuzi...sio lazy boy..
Zinduka kijana!!!!acha kufacebooka
....
Be a really man..
Ukisema No iwe no..
Ukisema Yes iwe Yes...

Nawasilisha...

Wanaume wenyewe wanashinda vijiweni tu kucheza bao na kupiga umbea .. Wakati huo sisi wanawake kutwa na masinia ya ndizi na parachichi kujitafutia riziki ... Lazima tuoe tu maana sie ndio tunakula kwa jasho badala ya wanaume looooo!
 
nmekutaman asee,du wangu namwambia nmpe hela afungue ka kibanda au kimwamvuli cha M~Pesa/Tigo_Pesa japo aingize hata buku kwa siku HATAKI!!!! Ye anansubiri tu gheto anacheki THE GAME OF THRONES from mornie to dark hrs duuh!
 
Mtafutie Jiko na Masufuria, afanye Biashara hata ya Mama Lishe, ili apate UHALALI wa Mama wa Familia...

Asijifanye Mlezi wakati kila kitu anafanya Dada wa kazi...!

Kama ataki kuwa sehemu ya mzalishaji ili kuongeza kipato cha home, timulia mbali,

Umefika mwisho kutufanya MISUKULE yao...[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Muda huu nipo kwa mtoto mmoja naangalia Bolywood Africa.
Slope zina raha yake, acha tu

Natania wakuu

Mwanaume ni lazima ugangamale, sio kudeka deka ovyo na kulamba lamba lips kama mbwa.
 
Siku njema.
 
nmekutaman asee,du wangu namwambia nmpe hela afungue ka kibanda au kimwamvuli cha M~Pesa/Tigo_Pesa japo aingize hata buku kwa siku HATAKI!!!! Ye anansubiri tu gheto anacheki THE GAME OF THRONES from mornie to dark hrs duuh!
sasa hapo si ni sawa tu na kufuga msukule ndani...... Kama hana excuse ya kutokufanya kazi mi ningeisha mtimua mapema sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…