njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,675
Makanjanja mmeyapa nini jameni????unajua mchezaji wa simba anaweza akapigwa ngumi ya kisogo akafia uwanjani halfu kwenye radio yakaacha hata kulisemea hilo suala?manyau-nyau Fc mpaka sasa bado mjaamini kipigo cha paka mwizi mlichopigwa jana.
Daudi Mchambuzi bhana. Penalti ndio kipigo cha mbwa mwizi? 🤣 🤣 🤣manyau-nyau Fc mpaka sasa bado mjaamini kipigo cha paka mwizi mlichopigwa jana.
Unateseka ukiwa wapi ndugu?Aisee simba ina bahati mbaya sana na makanjanja kwa kweli, juzi kaulizwa matola kajibu jana kasema hana match fitness,inawezekana wanatudanganya lakini ukiniambia hawezi kukimbia tena?source"watu walio karibu na uongozi wa simba"
kama vile hirizi ya shikhalo aliyomtuma mganga kuitoa ilivyopotezewa na makanjanja hata habari ya CEO barbra kupigwa huko zanzibar itapotezewa sana tu ila ingekuwa senzo kapigwa makanjanja yangelipuka sana hata kwenye page zao za instagram na twitter
Au ile ngumi ya sehemu hatari niyonzima aliyompiga muzamiru kisogoni ingekuwa imefanywa na mchezaji wa simba halfu red card haijatoka na utopolo awe kapoteza mechi pasingekalika leo kwa wachambuzi makanjanja
Kw ahili niwapongeze deportivo. la utopolo kwa kuwekeza kwa makanjanja maana sijajua mmetumia stratergy gani zaidi ya "papers"maana they are working tirelessly,so determined.
View attachment 1677214View attachment 1677215
Eti kipigo Cha paka Mwizi,teh "Matuta"?Manyau-nyau Fc mpaka sasa bado mjaamini kipigo cha paka mwizi mlichopigwa jana.
dah yaani ndugu acha tu hehehehe na huyo Daudi Mchambuzi ni mtu smart tu kwa nondo ninazoona anashuhaga huku jukwaani kumbe when it comes to deportivo la utopolo anaandika makorokocho hiviEti kipigo Cha paka Mwizi,teh "Matuta"?
kipigo ni kipigo tu cha msingi paka shume amekufa kifo cha aibu.Eti kipigo Cha paka Mwizi,teh "Matuta"?
Mkuu mbona hii comment ya Dauda ni ya kawaida tu.Aisee Simba ina bahati mbaya sana na makanjanja kwa kweli, juzi kaulizwa matola kajibu jana kasema hana match fitness, inawezekana wanatudanganya lakini ukiniambia hawezi kukimbia tena? Source"watu walio karibu na uongozi wa simba"
Kama vile hirizi ya shikhalo aliyomtuma mganga kuitoa ilivyopotezewa na makanjanja hata habari ya CEO barbra kupigwa huko Zanzibar itapotezewa sana tu ila ingekuwa senzo kapigwa makanjanja yangelipuka sana hata kwenye page zao za instagram na twitter
Au ile ngumi ya sehemu hatari niyonzima aliyompiga muzamiru kisogoni ingekuwa imefanywa na mchezaji wa simba halfu red card haijatoka na utopolo awe kapoteza mechi pasingekalika leo kwa wachambuzi makanjanja.
Kw ahili niwapongeze deportivo. la utopolo kwa kuwekeza kwa makanjanja maana sijajua mmetumia stratergy gani zaidi ya "papers"maana they are working tirelessly, so determined.
Ushauri mzuri otherwise Milembe patamuhusu soonSimba inakutesa sana ndugu yangu... Jitahidi kukadiria mahaba itakusaidia sana ndugu
.... Samahani kama nimekosea kukushauri
Ethics za uandishi wa habari zinataka u balance story sasa kwamba source yako ni walio karibu na uongozi na uongozi wenyewe huulizi kupata side b of the story huo ni ukanjanja sana tuMlimuandama Kitenge now mmehamia kwa Dauda. Ila paka efusii shida nn. Muacheni apost anachopenda.
Ethics za uandishi wa habari zinataka u balance story sasa kwamba source yako ni walio karibu na uongozi na uongozi wenyewe huulizi kupata side b of the story huo ni ukanjanja sana tuMkuu mbona hii comment ya Dauda ni ya kawaida tu.
.. don't take it too personal..
Daudi Mchambuzi bhana. Penalti ndio kipigo cha mbwa mwizi? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]