Huu ujumbe una ukweli wowote?

Sasa Kama utakuwa bellionea then huna girls wa kuzitumia hizo hela utakua na raha ipi Sasa??

Raha ya pesa ni kupewa penzi la watoto wazuri juu ya meza, kukatikiwa huno jepes while driving, kunyonywa mate na Slay Queens etc.

Siku account zangu zikizoma 9 digits mtanisoma kwenye magazeti
 
Ha ha ha ha nmecheka sana, Dunia hii matajir wametulia sana ila wenye hela wanambwembwe mnoooo....
 
ha ha ha ha
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aseeee
 
Hahaha
 
Ni kweli kwa mujibu wa mtazamo wake...

Mfano yule jamaa wa Play Boy huo usemi kwake hauna maana, sababu yeye maisha yake yote ni... na... wanawake tofauti na wamempa utajiri mkubwa sana...



Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…