MfalmewaKiha
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 1,191
- 1,247
Iran na Iraq zingekuwa jirani zetu ingekuwa poa sana.
Kuna jirani zetu siwapendi Basi tu!
Huwa wanajihisi ni wazungu kumbe ni weusi tiii
Tena wamejaa ukabila
Mie napenda hivihivi lkn labda Botswana ingeongezeka
R chuga ingekuwa nchi kwa fasi ya africa, mambo yangekuwa yechu yechu...
Yale ma dress code na ile lugha yenye swaga yaan da sipati pcha ingekuwaje
Ndugu wapendwa bila shaka hamjambo, poleni kwa majukum, Ninawaheshim wote mlio ktk JF
Niende Kwenye Topic moja kwa moja
Nchi ya Tanzania tumezungukwa na Nchi mbali mbali ambazo tunaweza Kusema ni majirani,
Swali langu je Wewe ungependa au ulitamani Nchi gani iwe ndo jirani yetu sisi kama ingewezekana?
Mimi ningependa ETHIOPIA NA RWANDA ndio wangekuwa majirani zetu na kwa nini?.
Mie napenda hivihivi lkn labda Botswana ingeongezeka
Wale wazee wa takbirrrrrrrri hawanaga masihara jambia nje nje[emoji16] [emoji16] [emoji16]Iran na Iraq zingekuwa jirani zetu ingekuwa poa sana.
Wale wazee wa takbirrrrrrrri hawanaga masihara jambia nje nje[emoji16] [emoji16] [emoji16]