HUU UJIRANI WA AFRICA MASHARIKI SIO

HUU UJIRANI WA AFRICA MASHARIKI SIO

MfalmewaKiha

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2017
Posts
1,191
Reaction score
1,244
Ndugu wapendwa bila shaka hamjambo, poleni kwa majukum, Ninawaheshim wote mlio ktk JF

Niende Kwenye Topic moja kwa moja
Nchi ya Tanzania tumezungukwa na Nchi mbali mbali ambazo tunaweza Kusema ni majirani,
Swali langu je Wewe ungependa au ulitamani Nchi gani iwe ndo jirani yetu sisi kama ingewezekana?

Mimi ningependa ETHIOPIA NA RWANDA ndio wangekuwa majirani zetu na kwa nini?.
 
Iran na Iraq zingekuwa jirani zetu ingekuwa poa sana.
 
Mie ningependa burkanafo na senegal ziwe majirani zetu
 
R chuga ingekuwa nchi kwa fasi ya africa, mambo yangekuwa yechu yechu...
Yale ma dress code na ile lugha yenye swaga yaan da sipati pcha ingekuwaje
 
Ndugu wapendwa bila shaka hamjambo, poleni kwa majukum, Ninawaheshim wote mlio ktk JF

Niende Kwenye Topic moja kwa moja
Nchi ya Tanzania tumezungukwa na Nchi mbali mbali ambazo tunaweza Kusema ni majirani,
Swali langu je Wewe ungependa au ulitamani Nchi gani iwe ndo jirani yetu sisi kama ingewezekana?

Mimi ningependa ETHIOPIA NA RWANDA ndio wangekuwa majirani zetu na kwa nini?.

Mi nilitamani sana Kenya,na hasa sababu ni Moja tu
Raisi wao, kwangu ndio Rais bora zaid kwa Afrika
 
Somalia na nigeria ili boko haramu na alshabab wawatie watawala wa Tz adabu, siunaona Kenya ina adabu angalau baada ya Alshabab kuwakumbusha kuwa kumbe mda wowote unaweza ukafa.

Wale miungu watu wa Tz wangenyooka tu.
 
Mi ningependa nchi hizi hizi zilizotuzunguka kwani sioni nchi nzuri zaidi yao.
 
Back
Top Bottom