Nimeshangazwa sana na kitendo cha CCM kughushi ZUIO LA MAHAKAMA ili uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar es Salaam usifanyike. Naona kama huo ni ujinga wa kupindukia. Wataendelea kuwadanganya Watanzania hadi lini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.