Sio fangus, hii kucha inachomoza ikiwa hivyo inavyoonekana. Mara nyingi ni kidole gumba na hiki cha kati. Pia mguu wa kulia kidole cha kati huwa kinapata hili tatizo japo kwa sasa halipo.
Kuna maumivu kidogo. Hili tatizo lina muda sasa linakuja na kupotea bila kutumia dawa yoyote.