Huu sio wivu ni kero...!

Hongera kwa kupendana na kuwa na wivu mwisho wa kupenda kwangu ni miaka 11 iliopita. Leo nikutana na mwanamke nawawaza kugegedana!
 
Kukosa maamuzi juu ya mke wako ni UZUZU,
Kama kila anachosema na wewe unafanya ni UZOBA
Kuhalalisha upuuzi wa kupelekeshwa na mke wako kisa mnapendana ni UZWAZWA

Note: Unazugwa tu ili uoen hafanyi ila chunguza *at your own Risk*

Thank me later
 
Samahani kama ntakuudhi ila wewe ni mwanamme dhaifu sana. Unasingizia kumpenda sana kuhalalisha udhaifu wako. Unakubalije masharti ya kitoto kama hayo na uanaume wako!! Na hapo wala hajakuwekea limbwata. Akija kukuwekea, nakuapia utakuwa unamtawadha akitoka maliwatoni...
 
Kuna watu wanabahati sana, pamoja na kupendwa na Asprin lakini ninalolisema analipima kwanza. Hayo ya kumwambia ajipige picha kila anakokua yangekua yamenifikisha Mirembe kwenye initial assessment.
Wife kuna nini hapa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…