Huu sio wivu ni kero...!

Nina wivu ila sio wa kiwango hicho. Jamaani.

Ila dio ufanyage tu Swahiba Nguvu moja maana umeshaanza kwa kusema mnapendana na kwa kuwa huwa unamkubalia kwa kila akisemacho ni dhahiri kwamba hiyo tabia umeiotesha mwenyewe. Vumiliaga tu kwa kweli.
 
Umenikumbusha documentary moja hivi ninayoipenda sana kwenye channel ya Investigation discovery inayoitwa obsession-dark desire!!....nilichojifunza na kugundua ni kwamba dark desire zote kama hiyo ya kwako mwisho wa siku zinasababisha kuuana,be careful my friend!!
 
Dah...halafu ukute kuna Kuna bwege linakula kilainiii ... na shikamoo linapewa...[emoji41] [emoji13]
 
Keshakuona Zuzu. Unless unaamua kujisimamia mwenyewe, hakuna ushauri utakaokusaidia kutoka huku
 
Mkuu usihangaike na mapicha kiasi cha kuonekana mwendawazimu, cha kufanya uwe unamtumia live location ya Google map via Whatsapp hyo ndo Msema kweli kuliko hizo picha.
Pili Kuhusu wivu wake we mwache nao kila jambo na wakati wake hata wakati huo utapita tu na atakua kawaida, ktk miaka ya mwanzoni mwa ndoa ama mahusiano mengi huwa hivyo mara nyingi hasa kama huyo mpenzi wako mlikutana ukubwani yani hamkukua wote kuanzia utoto wenu. Shukuru Mungu sana anakuonea wivu mkuu, siku akiacha kukufatilia kabisa ukawa utaumis usumbufu wake mkuu na unaweza kuhisi labda hakupendi tena. So be patient acha kila jambo lipite kwa wakati wake!
 
Bangi sio nzuri kwa akili mkuu. Kama Bangi haihusiki basi umelishwa limbwata mzee baba
 
Ok sir
 
Natafuta chumba nipange nikae hata mwaka
Apate displine alafu kimya kimya hata baadae nitakapoishi nae kwa mara ingine atakuwa na adabu nzuri ataacha ukorofi
 
Sasa kero ipo wapi hapo, sema wewe utakuwa na tabu fulani tu , mi nakushauri heshimu sana hisia za mkeo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…