JOMAM
JF-Expert Member
- Aug 6, 2012
- 330
- 139
Kwa mda hapa mwanza shughuli zetu za kimaisha zimekuwa haziendi kutokana na umeme, shirika la tanesco linatuweka kwenye mgao tusioufahamu, mara kadhaa kauli za kisiasa zimekuwa zikibainisha kuwa ndani ya taifa hakuna mgao,lakini hili linalo endelea hapa jijini ni zaidi ya mgao. hamuwezi jamani mkakata umeme toka asubuhi mpaka saa 9 usiku,sasa simuache hata kuurudisha kabisa! juzi mmeunguza vitu vyangu haitoshi wengine shughuli zetu za kiuchumi zinategemea umeme,hakuna mtu anaetusaidia kutunza familiya zetu nyie mwisho wa mwezi serikali inawalipa mshahara jamani tunafamiliya wengine,haya mambo mbona ya ki...nzi. Taifa linafanana na sacoss hivi ndivyo vitu vinavyofanya hatuelewi kwanini tumewapa dhamana baadhi yenu, walai nawaambia mnastahili kupingwa na jamii nzima,hili ndilo tatizo la monopoly campany. mambo ya kish...nzi kabisa!