Huu ni wakati wa mabadiliko ndani ya CHADEMA

Chintu

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2011
Posts
5,521
Reaction score
3,583
Kwa kuwa mgombea wetu mpendwa Mh Lowasa kashindwa kuupata urais na hivyo kushindwa kuiongoza nchi, CHADEMA tusiipoteze nafasi hiyo adimu ya kumpata kiongozi mwanamabadiliko kama Lowasa.
Kama alifaa kuliongoza taifa zima nadhani kukaongoza kachama ketu kwake itakuwa uji tu. Kwa jinsi ileile mlivyotuaminisha anafaa kuiongoza nchi, kamati kuu ituaminishe kuwa haikuwa inatuingiza chaka kwa kumteua kuwa Mwenyekiti au katibu mkuu wa CHADEMA.

Lowasaaaaaaaa!!! Mabadilikoooooooo!
 
Anafaaa sana mwanamabadiliko mwenzetu
Lowassaaaaaaa.... Mabadiliko....
 
Hapa tupo pamoja kabisa,Lowasa anafaa kuiongoza chadema,anafaa kuwa mwenyekiti wa chadema taifa.
 
Maajabu leo umekuwa mshauri wa CDM wakati mada zako nyingi ni kuwananga viongozi wa CDM mmejipanga kuhakikisha cdm inakufa ili muibe vizuri rasmaliza Watz maana kikwazo chenu ni cdm
 
Mwenyekiti wa CHADEMA hateuliwi na kamati kuu au na kakundi ka watu, mkutano mkuu ndo unamchagua Mwenyekiti kama atakidhi vigezo, nafikiri muda ukifika Lowasa akachukue form ya kugombea halafu wanachama waamue.
 
Mi nashauri Zitto Kabwe aandaliwe kuwa mgombea urais wa Ukawa mwaka 2020.. Mheshimiwa Lowasa abaki kuwa mshauri ,aungane na akina Sumaye,Mtei na Kingunge
 
Safi sana! Laurence Masha awe Katibu Mwenezi, Makongoro Mahanga awe mkurugenzi wa Ulinzi!
 
Kwa kuwa mgombea wetu mpendwa Mh Lowasa kashindwa kuupata urais na hivyo kushindwa kuiongoza nchi, CHADEMA tusiipoteze nafasi hiyo adimu ya kumpata kiongozi mwanamabadiliko kama Lowasa.
Kama alifaa kuliongoza taifa zima nadhani kukaongoza kachama ketu kwake itakuwa uji tu. Kwa jinsi ileile mlivyotuaminisha anafaa kuiongoza nchi, kamati kuu ituaminishe kuwa haikuwa inatuingiza chaka kwa kumteua kuwa Mwenyekiti au katibu mkuu wa CHADEMA.

Lowasaaaaaaaa!!! Mabadilikoooooooo!

Toa Ushauri kuhusu Maalim Seif na Uchaguzi wa Zanzibar.Lowasa kwa kweli kafanya kazi kubwa sana hasa Visiwani.
 
hahahaha. ...ccm wapuuzi kweli...ni hivi chadema Imo na taratibu zake
 
kama ni mapenzi ya mungu itakuwa tu wala hakuna wakupinga
 
Kwa kuwa mgombea wetu mpendwa Mh Lowasa kashindwa kuupata urais na hivyo kushindwa kuiongoza nchi, CHADEMA tusiipoteze nafasi hiyo adimu ya kumpata kiongozi mwanamabadiliko kama Lowasa.
Kama alifaa kuliongoza taifa zima nadhani kukaongoza kachama ketu kwake itakuwa uji tu. Kwa jinsi ileile mlivyotuaminisha anafaa kuiongoza nchi, kamati kuu ituaminishe kuwa haikuwa inatuingiza chaka kwa kumteua kuwa Mwenyekiti au katibu mkuu wa CHADEMA.

Lowasaaaaaaaa!!! Mabadilikoooooooo!

Chadema Mbowe mmeingizwa porini na hamjui njia kurudi. Mlidhani urais wa nchi ni sawa na wa club ya mpira? Mmekula pesa za mzee wa watu bure sasa mwacheni aende kwenye mifugo yake.
 
Hapa tupo pamoja kabisa,Lowasa anafaa kuiongoza chadema,anafaa kuwa mwenyekiti wa chadema taifa.

Idadi kubwa ya watu wanakuliana kuwa mh. Lowassa awe mwenyekiti wa chama. Kwa nia njema kabisa uitishwe mkutano mkuu wa dharura tumpe chama... Au siyo wanamabadiliko? Lowassa mwenyekiti... Mwenyekiti Lowassa...!!!
 
Maajabu leo umekuwa mshauri wa CDM wakati mada zako nyingi ni kuwananga viongozi wa CDM mmejipanga kuhakikisha cdm inakufa ili muibe vizuri rasmaliza Watz maana kikwazo chenu ni cdm
lowasa akiwa mwenyekiti chadema itakufa?!
 
Chadema = mbowe. Sijui ni kwanini hadi wasomi wakubwa wanashindwa kuelewa hesabu rahisi namna hii.
 
Back
Top Bottom