Huu ni uonevu


hahahahah! kumbe ma cheater mko wengi enh!
yaani kwanza uandish wako unaboa sana manake unamvictimize mtu as if tayari umemkuta. hivi unauhakika gani kama huyu Zinduna ni mwanamke? stuka rujo linatafutwa
 
Last edited by a moderator:
Dhambi zipo na kufanya dhambi hakukuondelei ubinadamu wako
Kama unaamini kuwa si ubinadamu kwa kumtega mkeo, niambie ni vipi unaamini ni ubinadamu kwa mkeo kukutafutia ukimwi?

Hapo kwenye bold, ndio hasa ulipo ujinga wako. Mimi kwa maoni yangu, kwa mtu yeyote mwenye akili zake timamu, ambaye ana ndoa yake na akaamua kuvua nguo yake mbele ya mtu mwingine, basi huyo amejidhalilisha mwenyewe tangu hapo alipofikiria tu kufanya kitendo kile.

Binadamu tuna ndoa na mipaka na hilo ndio linatutofautisha na mbuzi, nguruwe na kuku. Kama unaamini cheating ni kitendo cha kawaida tu, mbona unakuwa mkali kinapoanikwa hadharani?

Wewe na huyu mwanamke mwenzako aliyeanzisha hii mada mlitakiwa mtumie akili zenu kujua kuwa, kinachotufanya tufanyie tendo la ndoa ndani ndio hicho hicho kinachotulazimu kuwa na mipaka.

Kama mnaona yule mwanamke ana sababu yeyote ya kuhalalisha umalaya wake, basi hana haja ya kuumia. Auseme tu hadharani na jamii itamwelewa.

Na yule malaya wa kiume alipaswa kujua kuwa mwanamke aliyeolewa si mali yake. Kwa kutokujua hilo, yes, anakumbana na fadhaa na kutakiwa kulipa fedha. Mimi sioni tatizo, tena ingefaa na wamama waweke dawa waume zao wakitoka nje uume uvimbe uwe kama fenesi. stupid!
 
Unajua nini my dada?..kuna watu wanadhani wao ndio wana haki miliki ya kucheat na kufanya wayatakayo na wanadhani uanaume ni kudonoadonoa nje...ila wanasahau what goes around comes around..lakini pia lazima tujiulize unapofumania lengo ni nini??...umuonye?...umuache..umuue??....take it from kwamba ..kama TEGO litaenda gendered cheating itapungua kama sio kuisha kabisa....
kabla sijatoa mchango wangu naomba niwaombe Zinduna na SnowBall kuachana na huyu @bumpkin billionaire, chonde SnowBall usiwake kaka yangu wa moyoni lol!
 
Wanaume hajui tu MKEO AKIMEGWA AIBU YAKE AIBU YAKO???????? AIBU YAKO MWENYEWEEEEEEEE UNAONEKANA SIO MJUZI WA MAMBO, FIMBO YAKO HAIUI NYOKA ATIIIIIIII!!!!!!!!! MPO HAPO!

Bora Kujisitiri aibu zenu kimya kimya!!!!!!!
 
Zinduna ,nakubaliana na suala la kupiga vija jambo la kuwekeana tego lakini sio kwa mtazamo kama wako.Nakataa kwa sababu hakuna mahali ambopo vitisho vimesaidia kumbadili binadamu.Binadamu hubadilika mwenyewe akitaka!
 
Last edited by a moderator:
hahahahah! kumbe ma cheater mko wengi enh!
yaani kwanza uandish wako unaboa sana manake unamvictimize mtu as if tayari umemkuta. hivi unauhakika gani kama huyu Zinduna ni mwanamke? stuka rujo linatafutwa

Cheaters?!

Kwa hiyo kwa akili yako ya kuvuliwa chupi hovyo, ninafanana na cheater? Au hujui cheater maana yake?

Ninakuboa kwa sababu tu nachukia huu mchezo wenu na si vinginevyo. Kama unajua umeolewa una haja gani ya kwenda kuvuliwa nguo huko nje? Huyo mwanaume wenu naye ni kicheche kwa hiyo ana hofu kuwa one day tego litamkuta.

Character ya mtu huonekana kwa maneno pia. Wale walifumaniwa (kama ni kweli) wote wana makosa. Lkn solution yake sio kuhalalisha na mke wa yule malaya wa kiume akafanye the same. Huyu mwanzisha mada anasema mwanamke kadhalilishwa, sasa cha kujiuliza, kadhalilishwa akiwa kanisani au msikitini?

Wewe kama unajua hiyo dawa ilipo nakushauri nenda tu kanunue umuwekee mumeo. Siku atakayokamatwa hutakuwa umemdhalilisha, atakuwa amejidhalilisha kwa umalaya wake. Otherwise, ni akili kama za mbuzi, nguruwe na mbwa wanaoingilana hovyo bila mipaka.
 
Hapa labda tu nkuonye kwamba unaweza kuchangia mawazo yako bila kumkwaza mwenzio...unaposema ni ujinga wangu ni kama unanitusi..kwa sababu na mimi nina haki ya kuweka maoni yangu..kama wewe unasupport TEGO..huna haja ya kutoa povu onyesha tu faida zake na watu watakuelewa..Halaf hilo la pili ndiko maada inakosimamia..nadhani ungejielekeza kuchangia kwa kufuata muktadha huo....nadhani hata Zinduna ndicho alichomaanisha...
....Hapo kwenye bold, ndio hasa ulipo ujinga wako... Mimi sioni tatizo, tena ingefaa na wamama waweke dawa waume zao wakitoka nje uume uvimbe uwe kama fenesi. stupid!
 
Last edited by a moderator:
Wanaume hajui tu MKEO AKIMEGWA AIBU YAKE AIBU YAKO???????? AIBU YAKO MWENYEWEEEEEEEE UNAONEKANA SIO MJUZI WA MAMBO, FIMBO YAKO HAIUI NYOKA ATIIIIIIII!!!!!!!!! MPO HAPO!

Bora Kujisitiri aibu zenu kimya kimya!!!!!!!

[h=2]Re: BREAKING NEWS:- Atumbukia chooni akifanya mapenzi. Alimuacha mumewe hoi kitandani[/h]

WHATEVER YOU DO IN THE DARKNESS MUST COME TO LIGHT!!!!!!! Sijui walikua wanabanjuka pozi gani!!!! NA HARUFU YA MIMAVI CHOO CHA SHIMO!!!!!!!????? EEEEWW!!!!! SO GROSS!!!!!!

Kuna watu jehanamu watafanywa KUNI!!!!!!!!

Nimejifunza kitu kwako. Ili uwe mzuri MMU unatakiwa kuwa mnafiki.

Na leo mwisho wangu kuchangia majukwaa ya wanawake. Ngoja nirudi kwenye siasa
 

Je kila mume wa mtu akitegwa unafikiri kuna mwanaume atathubutu kuisaliti ndoa yake?
 
Re: BREAKING NEWS:- Atumbukia chooni akifanya mapenzi. Alimuacha mumewe hoi kitandani



Nimejifunza kitu kwako. Ili uwe mzuri MMU unatakiwa kuwa mnafiki.

Na leo mwisho wangu kuchangia majukwaa ya wanawake. Ngoja nirudi kwenye siasa


Wewe vipiiii!!!!!!!! Mbona WACHANGANYA TAMBI NA MBOGA ZA MAJANI!!!!!!!! UNAFIKI WANGU UPI HAPO SASA??????

Ofcouse KUFANYIA CHOONI NI GROSSS!!!!!!!!!!!, Na MKEO AKIFUMANIWA NI AIBU YAKO MWENYEWEEEE NDIO!!!!! NA WHAT EVER YOU DO IN THE DARKNESS WILL ALWAYS COME TO LIGHT!!!!!! Kila mwizi anajua 40 yake itafika, the issue is WHEN!!!!?

Bora usije kuchangia huku manake UNANICHOSHA KURUDIA KUTYPE VERY SIMPLE FACTS!!!!!!!!!
 
Re: BREAKING NEWS:- Atumbukia chooni akifanya mapenzi. Alimuacha mumewe hoi kitandani





Nimejifunza kitu kwako. Ili uwe mzuri MMU unatakiwa kuwa mnafiki.

Na leo mwisho wangu kuchangia majukwaa ya wanawake. Ngoja nirudi kwenye siasa

Haya nakutakia TEGO jema kwa mkeo.
 

Mupe mupe bi dada, anatuletea za siasa humu, aqtokomee mbali, kwanza hajulikani humu
 

umeongea point sana mkuu. pata picha wana watoto ambao tayari wanajielewa imajin wapo shule, huoini kwamba itawaathiri sana kisaikolojia! no no hiikitu hapana hata kama mtu husapoti infidelity..its too much
 
Nikuambie kitu Zinduna, kina mama kila siku tunabondwa licha ya kusalitiwa; wangapi tunawapeleka waume zetu police? Nitajibu

Very few. Why?
Tutaachwa na mwisho wa siku tutaishije?

Sasa fikiria nimemtegeshea Eiyer, akanaswa (kwanza jamii na ndugu wa mume watakavyoninanga), nikija kumnasua si talaka hapo hapo? Who dares?

Bora tungeitafuta aliyo propose HorsePower ya kumfanya asidise anavyochepuka. Akirudi nyumbani mambo kama kawa.
 
Last edited by a moderator:

mkuu calm down haina sababu ya kuwa na maneno makali namna hii... plz plz...
 
kwa nini wanaotegeshewa iwe ni wanawake na si wanawake kuwategeshea waume zao?
Iko hivi, iwapo wanawake watakuwa na uwezo wa kuwategeshea waume zao, kuna uwezekano wakanaswa wanaume wengi kuliko kawaida tofauti na wanawake.

Sasa Zinduna huoni kama mkiwategeshea waume zenu itakuwa hamjawatendea haki wanawake wenzenu ambao
wataumbuka pia! N
Kwa mila zetu za kiafrica, nafuu aibu ya mwanaume kama ya mwanamke!!
 

Umetoa mawazo mazuri hadi basi yaani! wewe kweli ni mke mwenye akili na muono wa mbali !
Zinduna nae japo anamapenzi lakini amesahau madhara ya hilo!
 
Mimi naweza kuwapa wanawake zaidi ya watano mimba kwa siku moja, je wewe unaweza kupata mimba za wanaume wawili kwa siku moja??????? Hiyo ni nature banaaa acha hizooooo

mwanaume wa ukweli hutumia dumeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee na hanasii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…