Mapenzi ni pesa kaka. mimi nikiwa na mwanamke hapendi pesa yangu au hajui kutumia pesa nampiga chini kwa kuwa atanitia umaskini akili italala. kuna demu nilimpiga chini nipo zangu kiwanja nimemvutia uzi namwambia kodi usafiri uje ntalipa. nashangaa anakuja na bodaboda. nikampiga chini. sasa nimepata demu yeye anapanda tax tu. na hapa anataka nimnunulie verossa. kanipa wiki.