Huu ni ukatili kwa wanyama

hiyo inahauweni, kuna moja iliwekwa humu, paka kasurubishwa msalabani.
 
duuuuuuuh!!!!! sasa naanza pata picha twiga walipandaje ndege

Hahahaaaa...! Nasikia halafu walinyweshwa viroba vya kufa mtu huyu aliwachomolea akajisalimisha mtini
 
mkuu huo siyo ukatili, hakuna kiumbe kisichopenda kupanda gari, hao ng'ombe hapo walipo ni full shangwe
 
duh wamewakunja nafiri mpaka wanatoa kinyesi bila kupenda
 
Aisee inanikumbusha nyama za Mwanza, hasa kIseke na vitongoji vingine. Nyama inaletwa kwenye viroba, viwe vya mbolea amangano, au..chochote Ukiona bodaboda kapakia hiyonyama utadhani kabeba mbolea. Kweli waafrika wagumu kufa.
 
duuuuuuuh!!!!! sasa naanza pata picha twiga walipandaje ndege

twiga alipandaje ndege?si kuna yale madege makubwaaa ya mizigo au anasafirishwa kwa contena kwenye meli au kwa treni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…