Huu ni Ugonjwa au ni nini?

Kwani unawaogopa kuwauliza?
Sometimes unakuta mtu hajawa makini kukusikiliza na wala hayuko interested na unachoongea hivyo ili akuonyeshe mko pamoja ndio anacheka hata kitu hakichekeshi. Kumbe hata hajasikiliza nini unaongea.
 
Utakua ulikua kwenye daladala labda
 
Isijekua wanakuona kama Mr.Bean au Chalii Chaplin, hapo tatizo ni wewe na si wao. Ila Sitaki kuamini kama mkiwa na maongezi yale serious kweli mtu akaanza tu kucheka mmh unaanzaje🤔,labda kama hayuko sawa kwa brain yake.
 
Wanakucheka wewe unaeongea pumba.
Baiskeli huna lakini unawaponda wenye Vitz, kwanini wasicheke.
Unakaa Buguruni Mnyamani unatuponda watu wa Kimara, kwanini usichekwe.
Unamuongelesha binti wa watu sehemu zenye chips, mishkaki, juice unazipita Kama vile huzioni.. kwanini awe msikivu.
Ngoja nikupe akili. Nenda kwenye ATM Iliyo karibu na bar. Mpe demu wako ATM card akatoe pesa halafu akukute bar unasubiri kongoro. Usimwambie kiasi maana hawezi kutoa zaidi ya milioni. Utasikilizwa sana hata ukiongea upupu
 
Isijekua wanakuona kama Mr.Bean au Chalii Chaplin, hapo tatizo ni wewe na si wao. Ila Sitaki kuamini kama mkiwa na maongezi yale serious kweli mtu akaanza tu kucheka mmh unaanzaje[emoji848],labda kama hayuko sawa kwa brain yake.
Simamia statement yako ya mwisho alafu uandike tena
 
Mkuu ivi Unaelewa ulicho andika kweli?
 
Kwani unawaogopa kuwauliza?
Sometimes unakuta mtu hajawa makini kukusikiliza na wala hayuko interested na unachoongea hivyo ili akuonyeshe mko pamoja ndio anacheka hata kitu hakichekeshi. Kumbe hata hajasikiliza nini unaongea.
Sio hajawa interested ukisema hajawa interested nakataa..Nakupa mfano anakuja anaomba labda ni ushauri kwenye jambo fulani serious kidogo and ofcourse ishu serious ata ungekua wewe ungeipa uzito, sasa unakuta anaaza kucheka cheka in between hata sio sehemu ya kuchekesha
 
Issue unayoiona serious wengine wanaiona Ni ya kuchekesha kutokana na ilivyo ya kitoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…