😈Hako kaugonjwa kanasababishwa na kutoshughulikiwa vyema kitandani, sasa na wewe kama uliwaacha hivi hivi unahitaji viboko visivyo pungua 20
au jela siku zisizopungua 2 ama vyote Kwa pamoja.Hako kaugonjwa kanasababishwa na kutoshughulikiwa vyema kitandani, sasa na wewe kama uliwaacha hivi hivi unahitaji viboko visivyo pungua 20
Naunga mkono hoja. Kuna kademu fulani niko nako sasa kabla sijaanza kukatafuna yaani ilikua kila nikikaa nako ni kuchekacheka tuu bila sababu ya msingi.Hako kaugonjwa kanasababishwa na kutoshughulikiwa vyema kitandani, sasa na wewe kama uliwaacha hivi hivi unahitaji viboko visivyo pungua 20
mmh..hii kuna jamaa angu mmoja aliniambia kuwa hii inachangia pia especially kama dem atakua virgnNaunga mkono hoja. Kuna kademu fulani niko nako sasa kabla sijaanza kukatafuna yaani ilikua kila nikikaa nako ni kuchekacheka tuu bila sababu ya msingi.
Tangu nianze kukapelekea moto hiyo tabia imekata kabisa na sasa hivi tukikaa tunaongea mambo serious na nna mda sijakaona tena kakicheka cheka bila sababu.
Big no nakupa Big no tena mara nyingine Big Nooo once again and again. Uliyo yasema hapo kaka hamna hata moja linalo nihusu.anyways ni maoni yako pia so your free to comment ila hapo sipo kabisa.Washakusoma kwa ma 3
1) unapenda mtu akupe attention mda wote na akikaa na wewe unataka akae kama unavotaka wewe.
2) una hali ya kujikweza tena ya hadharani na ili asikuoneshe kuwa hapendezewi ukiweka mada zako zinapotezewa kwa cheko.
3) ulivo ndivo mtu atakavokuwa kwako,,
So mtoa mada huenda unachekagachekaga ovyo.