kidole007
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 3,094
- 1,877
Plz dont judge me jf
kila mtu anachagua mwenza (mpenzi) kwa utashi wake anayemeet standard zake
upande wangu wake za watu, wapenzi wa watu ndo chaguo langu namba moja
nikitongoza msichana akinambia sorry nna mtu wangu basi ndo attraction inazidi
niko radhi nitumie mbinu zozote nimvue underwear
wake za watu sasa sijielewi huu msukumo kwa mali za watu unatoka wapi
najua athari zake kwan kuna incident iliwahi tokea kuna jamaa ali find out kuwa nagegeda mke wake alinisaka hadi nikaamua kuama kwa muda sehemu nliyokuwa nakaa hadi mambo yalipo poa
nilijiapiza sitak tena mali za watu
but as soon as ntakutana na msichana afu nijue ana mtu uvimilivu una nishinda naanza tena wengine wana misimamo wakikaza sana napoteza wengine ndo ivo tena sitak nataka
sasa sijui hili ni pepo au nini coz hadi madem wa washikaj sometimes huwa nawatamani
sema hili nime weza lishinda kwa kukaa mbali nao mambo ya ushemeji kwangu stak hata washikaja wanashangaa nisivo kuwa na time na shemej zangu kumbe siri naijua mwenyewe
ushauri wana jF niweze epukana na tabia hii hatarishi