Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,866 Reaction score 4,261 Aug 25, 2010 #21 Suala la maombi si lazima pawe na mapepo. Maombi pia huonyesha njia ya kupata ufumbuzi
Wa mmoja Member Joined Aug 4, 2009 Posts 99 Reaction score 0 Aug 25, 2010 #22 Ukisikia tambiko ndio hilo....!!! 2005 alianguka wakati wa kufunga kampeni zake jijini Mwanza.Sahivi kaanguka wakati wa uzinduzi wa kampeni....Lazima kuna siri nzito,haiwezekani aanguke yeye tu mbona wengine hawaanguki na wanafunga?!!!
Ukisikia tambiko ndio hilo....!!! 2005 alianguka wakati wa kufunga kampeni zake jijini Mwanza.Sahivi kaanguka wakati wa uzinduzi wa kampeni....Lazima kuna siri nzito,haiwezekani aanguke yeye tu mbona wengine hawaanguki na wanafunga?!!!