Huu ni uchochezi wa kidini!

Lukuvi alisema ukweli mtupu hao jamaa ni hatari anaebisha acheki video za hao uamsho zipo mitandandaoni. Tatizo aliongelea church nukta
 
Lukuvi alisema ukweli mtupu hao jamaa ni hatari anaebisha acheki video za hao uamsho zipo mitandandaoni. Tatizo aliongelea church nukta

Kwa hivyo unataka kusema kwamba Lukuvi alikuwa anajibu mapigo ya uamsho au unataka kusema nini? Na je, kuna uhusiano wowote kati ya uamsho na CUF kama mabavyo Lukuvi amechochea? una maoni gani kuhusu huo uchochezi?
 
Acha kumtaja mtume wa watu.mtaja baba yako aliyesingiziwa mtoto ukazaliwa ww mkuu
 
Lukuvi hamna kitu kichwani---kile kichwa chake ni boga tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…