Huu ni uchawi au sayansi?

Huu ni uchawi au sayansi?

Itakua vema wakisaidiana na mzizi mkavu.
 
🙂 Profesa mshana jr njoo kuna kesi huku 🙂
 
Mshana jnr kuna kazi yako hapa
 
sayansi ina misingi yake. Lazima kuwe na vigezo kwa kila jambo. sasa hapo kitu gani kimefamyika unachoweza kuwafundisha watu wengine.

ni uchawi na mambo ya jadi
 
Kweli huu ni ukarumazira. Brother K wa Star Tv anaweza toa maelezo kamili
 
[QSo E="KATASAN'KAZA, post: 15277701, member: 158949"]Hakuna kitu adobe tuu hiyo video inarudia tukio lilelile..[/QUOTE]


Sio Adobe mkuu kunapoint inaonyesha kabisa anataka kuung'oa alafu mti unarudi Arafu fast a anausukuma ila Mti unamshinda nguvu unarudi tena mahala pake alafu mapigo ya moshi yanaenda sambamba na nguvu inayo tumika. Hay a nani kaediti na kwa faida gain wakati sio issues ya kisiasa
 
Nasikia huu mti ni tanga hii

Sent from my SM-E700H using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom