Huu ni mwaka ulio kubaliwa 2014

Eliezar Mlwafu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
449
Reaction score
140
Roho wa Bwana yu juu yangu kwamaana amenitia mafuta kuwa hubiri masikini habali njema,

Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao,Navipofu kupata kuona tena,kuwaacha huru walio setwa.

Nakutangaza mwaka wa Bwana uliokubalika.
Amen
 
Asante mama Mchungaji!! Wakumbushe na wanaochukuwa wake za watu' wamrudie Bwana.
 
Amina, usiache kuwakumbusha wadada wanaoiba waume za wenzao na pia wanaume wanaotelekeza familia zao. Hakika vilio vya kina mama waliotelekezwa na watoto waliotelekezwa vimefika kwa Mungu. Baki njia kuu acha kuchopoka!!!
 
Hilo nalo neno,lakini hiki kizazi cha nyoka hawatakuelewa,tena 14/2 ndiyo wataharibu zaidi kwa kua zinaa
ndiyo kipaumbele.
 
amen na iwe hvyo kwangu sawa sawa na neno lake Mungu.
 
amen huu ni mwaka wa miss chagga kupata pesa nyingi sana
 
Roho wa Bwana yu juu yangu kwamaana amenitia mafuta kuwa hubiri masikini habali njema,

Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao, Navipofu kupata kuona tena,kuwaacha huru walio setwa.

Nakutangaza mwaka wa Bwana uliokubalika.
Amen

Roho ya Bwana gani, kwani wewe nani mpaka ije juu yako? umekuja tangaza habari njema kwa masikini kwani umeona kuwa hapa ndo kuna masikini wengi?

Kwani mwaka jana haukuwa umekubalika?

NI MTAZAMO TU.
 
Year of destiny, year of crossing the bridge. ....
Unajitia moyo kwa kuwa mwaka jana ulichemsha, na mwaka huu lala kama mwaka jana uone, hakuna cha destiny wala bridge zaidi ya hard work, kujituma na kugundua fursa na kuzifanyia kazi, all years are good years.

NI MTAZAMO TU.
 
Roho wa Bwana yu juu yangu kwamaana amenitia mafuta kuwa hubiri masikini habali njema,

Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao,Navipofu kupata kuona tena,kuwaacha huru walio setwa.

Nakutangaza mwaka wa Bwana uliokubalika.
Amen
Nakubaliana nawe, na Kimsingi katika Mwaka wa Bwana uliokubalika ni mwaka ambao:
  • Wafungwa wanawekwa huru
  • Watumwa wanarejeshewa uhuru wao
  • vilivyopotea kurudi
  • waliokuwa mbali na Bwana Kumrudia Bwana
  • Maeneo uliyokuwa umekwama, kupata neema ya Kukuvusha
  • Uliokuwa unawaza huwezi kukamilisha, unapokea neema ya Mungu ya kukuwezesha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…