Paul Kijoka
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 1,399
- 256
Kwa mawazo yangu kama mzalendo na mtu anayeliangalia taifa letu linavyozidi kudidimia naamini kuwa huu ndo mtaji wa CCM kuendelea kuhodhi madaraka kwa namna yoyote ile.
Mkuu!
- kuwa na watanzania weliowengi mbumbu ambao ndo mtaji wa mafisadi
- kuwa na wasomi walio na uozo wa kuibia masikini na kujilimbikizia mali na kuacha watu masikini wakifa njaa, kwa ufukara, wakifanyiwa operation hospital bila ganzi.......!
- uwepo wa walaghai ndani ya CCM hasa wale wanaojiita wapiganaji kumbe ni WALAGHAAJI na wazamisha meli ya watanzania
- ukosekanaji wa uzalendo na uwepo wa umimi miongoni mwa watanzania
- dola kukandamiza wanachi hasa wale wasiojua sheria na haki zao
- CCM kuubiri udini na kugawanya wa TZ baadala ya kupambana na mafisadi kwamfano waislam waliowengi sasa wanapambana na CDM.
- NJAA na umasikini uliokubuu ambao unawafanya watanzania kutawaliwa KIUCHUMI na si KISIASA
Unanukia uzalendo. Uloyasema ni sehemu tu ya ukweli.

point ya 7 imesimama tena kiume,hapa ndo shida ilipo kwa watanzania,goooooood for this point mkuuuuuKwa mawazo yangu kama mzalendo na mtu anayeliangalia taifa letu linavyozidi kudidimia naamini kuwa huu ndo mtaji wa CCM kuendelea kuhodhi madaraka kwa namna yoyote ile.