antanarivo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2018
- 452
- 886
Epuka matapeli mkuu Mtu hafundishwi namna ya kumuabudu MunguKwahiyo saizi umehamia wapi? Kwa mwamposa au Kwa masanja?
Uliingia kwenye dini kama umeingia chama flan cha siasa,yaani huna tofauti na mshabiki wa ndondo cup.Ndiyo maana unapeperushwa huko na hukoNaweka wazi kuwa Mimi ni mtu niliyetumia Kila mbinu kumtafuta Mungu wa kweli natoa maelezo mafupi kutokana na maoni yangu
Nimeanza kumuamini Mungu nikiwa naanza kidato Cha kwanza , hapo nilikuwa na Kasi ya 5G ya kumtafuta Mungu huku nikiwa ni mtu wa Toba Kila saa nilikuwa nikisoma biblia na kuifundisha haswa kwa wanafunzi wenzangu kwa kuwa shule ilikuwa ya kutwa basi nilijikuta njia nzima nikihubiri na kufundisha watu kuhusu biblia
Baadae katika pitapita na kutafuta ukweli wa ipi dini ya kweli na yupi Mungu wa kweli , nikaja kupata kitabu Fulani hivi ambacho kilikuwa hakina anwani Wala jina la dhehebu lililoandaa hiko kitabu maana Ganda la kitabu hicho na karatasi zingine za mwanzo zilikuwa zisha chanika , ninavyoendelea kukasoma kale ka kitabu nikaona kina majibu ya maswali mengi niliyo kuwa najiuliza na kwa huo muda nilikuwa tayari nishabatizwa kanisa la babtist ambako speed nilivyokuwa nayo ya kutafuta kweli ya Mungu iliwashangaza wengi pale kanisani maana ilifika kipindi Hadi mchungaji akiwa kwenye mahubiri nanyoosha mkono nikitaka ufafanuzi wa kile alichohubiri[emoji23][emoji23],
Na ilifika kipindi usiku naenda kulala kanisani pekeangu nikiwa nasali na pia Kuna siku nilipewa fee ya mtihani wa form Four nikaenda kutoa 10000 kama sadaka yaani hapa ndo siku ambayo imani yangu juu ya hili kanisa la babtist ikaanza kupungua kumbe kipindi tunatoa sadaka mchungaji anaangalia nani katoa sh ngapi , Sasa baada ya ibada kuisha mchungaji kanifuata eti Mimi mwanafunzi ile hela anirudishie nitoe hata 1000 daah Mimi nikasema nimeitoa kwa moyo wote so aondoe shaka ,
Sasa katika pitapita za hapa na pale nikakutana na mwinjilist wa kisabato ambaye naye alijitanipa SoMo na baadae nikaja kugundua kumbe kile kitabu nilichokipataga hapo kabla kilikuwa Cha wasabato
Baadae nikaingia rasmi usabatoni na nikabatizwa huko nikapewa na biblia maisha yakaendelea na Kijijini kwetu pamoja na kwenye ukoo wetu Mimi peke angu ndo msabato , vita home ikawa kubwa hawataki niwe msabato lakini Mimi nikadai naitafuta kweli na kweli ipo sabato
Baadae nikaanza kufuatilia midahalo ya kina mazinge ,mwaipopo,Dr sule na wahadhiri wengine wa kiislamu dhidi ya wakristo nikaja kugundua Kuna uhalisia upo katika Imani ya kiislamu
Nikaenda nikaslimu na kupewa jina la salimu nikapewa vijuzuu na vitabu Fulani na zawadi za vibarakashia
Nikaanzishiwa darsa la kujua kusoma na kuswali
Lakini mwishowe nikabaini niliyoyabaini
Na kufupisha stori ni kuwa Muumbaji yupo bila kujali jina lake ni nani na ww katika kuishi kwako omba nafsi ikuongoze kulingana na Muumbaji wako anavyohitaji acha papara za ipi dini ya haki au ya uongo , Mungu alituumba automatically na tunamsifu na kumwabudu automatic bila sisi kujijua (nature) hakuna kitu kinachoitwa kufundisha namna ya kumwabudu Mungu epuka matapeli
Kama vile ndege ,wanyama ,wadudu wamwabuduvyo Mungu ndivyo hata sisi tunamwabudu bila ya sisi kujijua
Ova
Kuhusu kuwa ukiomba unajibiwa hio ni kazi ya ubongo
Soma kitabu Cha THE POWER OF SUBCONSCIOUS MIND BY JOSEPH MURPHY
Mpaka mwaka uishe huu tuataona mengi inshaAllah..Thread za dini zipo nyomi
Hakuna kupeperushwa usiabudu kitu usichokijua maana unaweza jikuta badala ya kuabudu kumbe unakufuruUliingia kwenye dini kama umeingia chama flan cha siasa,yaani huna tofauti na mshabiki wa ndondo cup.Ndiyo maana unapeperushwa huko na huko
We jamaa naonaga thread nyingi majibu yako ni negative na mara nyingi unakuwaga hujaelewa mada , yaani huna communication intelligence kabisaKuna kampeni ya misikiti kutumia JF kuhubiri dini ya mnyaazi
Mods shitukeni.
Huu ni upumbavu na ujinga wa hali ya juu umume hakuna watu wanajadili ubora wa dini zao pumbavu sana
Ni upuuzi wa wafia dini wa kiafrika kutwa nzima kujadili dini tuuiWe jamaa naonaga thread nyingi majibu yako ni negative na mara nyingi unakuwaga hujaelewa mada , yaani huna communication intelligence kabisa
Mimi nina imani ndugu kuwa bado safari hujaimaliza mpaka utakapo maliza mkataba na pumzi ya mwenye pumzi, omba sana usije tukana watumishi wa Mungu haijalishi ni wadhehebu lipi! Au dini ipi.Naweka wazi kuwa Mimi ni mtu niliyetumia Kila mbinu kumtafuta Mungu wa kweli natoa maelezo mafupi kutokana na maoni yangu
Nimeanza kumuamini Mungu nikiwa naanza kidato Cha kwanza , hapo nilikuwa na Kasi ya 5G ya kumtafuta Mungu huku nikiwa ni mtu wa Toba Kila saa nilikuwa nikisoma biblia na kuifundisha haswa kwa wanafunzi wenzangu kwa kuwa shule ilikuwa ya kutwa basi nilijikuta njia nzima nikihubiri na kufundisha watu kuhusu biblia
Baadae katika pitapita na kutafuta ukweli wa ipi dini ya kweli na yupi Mungu wa kweli , nikaja kupata kitabu Fulani hivi ambacho kilikuwa hakina anwani Wala jina la dhehebu lililoandaa hiko kitabu maana Ganda la kitabu hicho na karatasi zingine za mwanzo zilikuwa zisha chanika , ninavyoendelea kukasoma kale ka kitabu nikaona kina majibu ya maswali mengi niliyo kuwa najiuliza na kwa huo muda nilikuwa tayari nishabatizwa kanisa la babtist ambako speed nilivyokuwa nayo ya kutafuta kweli ya Mungu iliwashangaza wengi pale kanisani maana ilifika kipindi Hadi mchungaji akiwa kwenye mahubiri nanyoosha mkono nikitaka ufafanuzi wa kile alichohubiri[emoji23][emoji23],
Na ilifika kipindi usiku naenda kulala kanisani pekeangu nikiwa nasali na pia Kuna siku nilipewa fee ya mtihani wa form Four nikaenda kutoa 10000 kama sadaka yaani hapa ndo siku ambayo imani yangu juu ya hili kanisa la babtist ikaanza kupungua kumbe kipindi tunatoa sadaka mchungaji anaangalia nani katoa sh ngapi , Sasa baada ya ibada kuisha mchungaji kanifuata eti Mimi mwanafunzi ile hela anirudishie nitoe hata 1000 daah Mimi nikasema nimeitoa kwa moyo wote so aondoe shaka ,
Sasa katika pitapita za hapa na pale nikakutana na mwinjilist wa kisabato ambaye naye alijitanipa SoMo na baadae nikaja kugundua kumbe kile kitabu nilichokipataga hapo kabla kilikuwa Cha wasabato
Baadae nikaingia rasmi usabatoni na nikabatizwa huko nikapewa na biblia maisha yakaendelea na Kijijini kwetu pamoja na kwenye ukoo wetu Mimi peke angu ndo msabato , vita home ikawa kubwa hawataki niwe msabato lakini Mimi nikadai naitafuta kweli na kweli ipo sabato
Baadae nikaanza kufuatilia midahalo ya kina mazinge ,mwaipopo,Dr sule na wahadhiri wengine wa kiislamu dhidi ya wakristo nikaja kugundua Kuna uhalisia upo katika Imani ya kiislamu
Nikaenda nikaslimu na kupewa jina la salimu nikapewa vijuzuu na vitabu Fulani na zawadi za vibarakashia
Nikaanzishiwa darsa la kujua kusoma na kuswali
Lakini mwishowe nikabaini niliyoyabaini
Na kufupisha stori ni kuwa Muumbaji yupo bila kujali jina lake ni nani na ww katika kuishi kwako omba nafsi ikuongoze kulingana na Muumbaji wako anavyohitaji acha papara za ipi dini ya haki au ya uongo , Mungu alituumba automatically na tunamsifu na kumwabudu automatic bila sisi kujijua (nature) hakuna kitu kinachoitwa kufundisha namna ya kumwabudu Mungu epuka matapeli
Kama vile ndege ,wanyama ,wadudu wamwabuduvyo Mungu ndivyo hata sisi tunamwabudu bila ya sisi kujijua
Ova
Kuhusu kuwa ukiomba unajibiwa hio ni kazi ya ubongo
Soma kitabu Cha THE POWER OF SUBCONSCIOUS MIND BY JOSEPH MURPHY
Wewe ni mtu wa kutangatanga sana mkuu, yaani huna msimamo!Naweka wazi kuwa Mimi ni mtu niliyetumia Kila mbinu kumtafuta Mungu wa kweli natoa maelezo mafupi kutokana na maoni yangu

Sema jumbo LA Dini......!!!Epuka matapeli mkuu Mtu hafundishwi namna ya kumuabudu Mungu
Kwa hiyo unamtukana nani?Kuna kampeni ya misikiti kutumia JF kuhubiri dini ya mnyaazi
Mods shitukeni.
Huu ni upumbavu na ujinga wa hali ya juu umume hakuna watu wanajadili ubora wa dini zao pumbavu sana
Hata kipindi cha Yesu dini za kipindi hicho zilikuwa hivyoUmejitahidi kujieleza, ila Mungu wa kweli anapatikana kupitia mababu zako. Chanzo cha maisha yako ni wazazi, nao wazazi wana chanzo chao. Ukifuata huo mlolongo utampata Mungu wa kweli. Sali kwa kupitia hao mababu ili wakuunganishe na Mungu wa kweli. Narudia tena, "hizi dini ni biashara".