Nawapongeza wana Singida kudiriki kuchagua asiyekua mnafki bungeni,kwani ni mtu mmoja ila nikama wabunge 70 bungeni. Sio kwamba hana usingizi bungeni kama wabunge wengine hasa wa chama tawala ila anaumwa ugonjwa wa UZALENDO NDOMAANA HAISHI KULITUMIKIA TAIFA KWA UJUMLA.
Pia anatimiza kiapo chake cha kuilinda katiba na sheria za nchi sio kama wenzetu wanaoapa kama fasheni flani huku baada ya kiapo hawatekelezi walichoahidi kwenye kiapo. Je ndunga uliapa utailinda na kuitetea ccm bungeni?
Spika hawataki watu kama akina tundu, hawezi mambo ya vyama vingi, ni bora akajiuzuru yeye ana meza yake yote. Ukiwa spika wa bunge la vyma vingi jitahidi sana kutokuwa na double standarsd!
Luoga Mpina anasema anaonekana mbaya na ccm wenzake kwa sababu haungi mkono bajeti
kukosoa si dhambi,nayokosoa sio ya kwangu,tulikubaliana hapa bungeni wote
mf. Kupunguzwa kwa misamaha ya kodi tulikubaliana,lakini inaletwa bajeti misamaha ya kodi imeongezeka halafu tusikosoe
Na kumdhibiti Tundu Lissu ni kazi kubwa maana walishindwa tangia kwenye uchaguzi ambapo baba Ritz1 alitoa rai ya kumzuia asiingie bungeni maana alijua moto wake!.