hivi hao jamaa wanalipwa na nani?
hivi hao jamaa wanalipwa na nani?
HUKU MTAANI KWETU WAPO,
Kulipa huku wanachangisha kila kaya 5000....
ah buku tano bajeti ya futari week nzimaHUKU MTAANI KWETU WAPO,
Kulipa huku wanachangisha kila kaya 5000....
kwetu sisi ni 2500/=HUKU MTAANI KWETU WAPO,
Kulipa huku wanachangisha kila kaya 5000....
ah buku tano bajeti ya futari week nzima
kwetu sisi ni 2500/=
mbona nyingi hivyo.......khaaaa!.....
duh hiyo ni kila mwezi!!!!!
Mkuu, Mchana mwema hebu nijuze huwaga wanarom around ? na hutoa risiti na wana uhalali gani?
kila la heri
Good Mwenzetu, kweli sikupati lakini I hope uaminifu upo na usalama unashamiri kwenu...Usiku ndio huwa wanapita ila siku hizi hata sijawasikia
wananipaga risiti,ni huku UDSM Maeneo ya Changanyikeni sijui ka unakupata
yap monthlyduh hiyo ni kila mwezi!!!!!
Maeneo ya mtaa wa kibini musoma mjini ulinzi shirikishi wanakamata watu na kuwanyang'anya vitu mbalimbali, kuna jamaa alikamatwa mnamo saa tano za usiku, akaombwa kutoa pesa alipokataa waliamua kumsachi na kuchukua pesa zote alizokuwa nazo ndipo wakamwachia.Hii ni sawa?