JUNIOR_PAYA
Member
- Aug 23, 2014
- 71
- 17
Asalaam aleykum,
Utangulizi:
Kwa kawaida kila binadamu hupenda vifuatavyo;
Kutimiza majukumu yake ili afikie malengo yake, hutamani awe na faida kwa viumbe wote, hupenda kujilinda, hujenga himaya yake, hupenda kuheshimiwa, pia hupenda kuishi vyema duniani, mambo haya ni ngumu sana kuyaona kwa kiumbe mpaka pale atapopata fursa(uongozi, pesa nk).
Ili kuyapata haya mja yupo tayari kufanya lolote hata kama lina hatari kiasi gani na linagharama kiasi gani.
Duniani kuna makabila mengi na yanahulka tofauti tofauti, mengi ya makabila au nchi zilizozoea kuishi kifalme ndizo hasa hupenda zaidi vigezo tajwa hapo juu(sifa, kujikweza, heshima iliopitiliza nk), mfano watu wa uingereza, wakatarunya, wamisri, wasukuma, wahaya, wachaga.
Twende kwenye Maada:
Kutokana na maneno ya wapambe na wapiga debe wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) juu ukomo wa madaraka ya raisi ,Miongoni(si wote) mwa watanzania wengi kumezuka hofu juu ya rais Dr JPM kuongoza milele, japo sijawahi kumsikia akitamani kuendelea na uongozi, mpaka nina hofu kuwa 2020 anaweza asigombee(sina maana mbaya) kwakuwa yeye mwenyewe kila kukicha anatamka kuwa uongozi umemchosha kutokana na ufisadi ulokithiri.
Rais ni mwenye nia njema sana na nchi yetu, ukiondoa uimara(strength) alonao kwa kuendeleza miradi mikubwa kama,Tanzania Standard Gauge Railway, Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station , barabara-fly overs, viwanda-nashauri aboreshe , ndege-ATCL,kuhamia Dodoma, yafuatayo ni mapungufu ya serikali yake;
1. Ufisadi, kutokana na ripoti ya CAG imeonekana serikalini bado kuna ufisadi wa hali ya juu tena wa kimya kimya, ukiongozwa na viongizi waandamizi
2. Viongozi wengi walio chini yake wanatumia mwanya wa rais Dr JPM kupenda kukuzwa, kusifiwa, kuthaminiwa kumgombanisha na wananchi, mfano issue za JWTZ, Bunge na CAG nk
3. Sishauri rais Dr JPM atoe ahadi wakati anapokuwa na furaha sana au hasira sana, mfano, ishu ya vijana wa JKT walio ahidiwa ajira, na baadhi ya watumishi anaowatumbua na kuwarudisha.
4. Ajitahidi sana katka swala la ajira, asitegemee miradi anayoanzisha ndio iajiri ni ngumu, miradi huhitaji mda ili iweze kutoa ajira za kudumu.
Nadhani swala la upendeleo kwa majeshi hulka ya binadamu na kiongoz yoyote yule hata raisi mstaafu Dr JM Kikwete aliwapendelea na ndomana jeshi lina NGOME ALLOWANCE, watumushi wengne hawana nk
Nakuhusu kwann wanamsifia pia ni moja ya hulka walioiona kama hulka pendwa ya mkuu, ni juu yao sasa kumjenga na kumfurahisha na si kumfurahisha pekee.
So far rais Dr JP Magufuli, kuna nia thabiti anayo, na kuna kitu tunajifunza kama watanzania hakika kupanga ni kuchagua.
Karibuni kwa michango.
Nawatakia Quaresima njema ndugu zangu wakristo.
Wahadha salaam aleykum.
Careless whisper