Huu ndio ujumbe alioandika Askofu Gwajima akiambatanisha na Picha ya RC Makonda

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,866
image.jpeg
"Mchana na usiku huzunguka kutani mwake; Uovu na taabu zimo ndani yake; Tamaa mbaya zimo ndani yake; Dhuluma na hila haziondoki mitaani mwake. Kwa maana aliyetukana si adui; Kama ndivyo, ningevumilia. Aliyejitukuza juu yangu siye anichukiaye; Kama ndivyo, ningejificha asinione. Bali ni wewe, mtu mwenzangu, Rafiki yangu, niliyejuana nawe sana. Tulipeana shauri tamu; na kutembea Nyumbani mwa Mungu pamoja na mkutano."

ZAB. 55:10‭-‬14 SUV
 
Adui yako namba moja ni yule wa malangon pako mwenyewe. Unakula nae na kucheka nae kumbe moyoni mwake amepanga kukuangamiza. Kweli nimeamini bora ukutane na simba unaweza kumkimbia, kuliko kukutana na binadam anayekuchekea ukiwa hujui dhamira yake kwako, anaweza kukuangamiza wewe na kizazi chako.
 
Kama ni kweli ndugu mchungaji asubiri tu..kama sikweli basi ajue ni sehemu ya majaribu katika utumishi wake..hata manabii walipitia misukosuko..kama si kweli hana haja ya kutoa maneno ya mipasho kupitia kitabu kitakatifu..bali afurahi na kushangilia na Makonda ili ajitofautishe na watu wa mataifa na Mungu apate kumuinua zaidi..huwa naona watu wa dini wana heri sababu wengi wao mambo mengi ya dunia huwa hayawasumbui..ila huyu anaonekana anaipenda zaidi dunia ndio maana anapambana..amuige askofu pengo
 
View attachment 469623 "Mchana na usiku huzunguka kutani mwake; Uovu na taabu zimo ndani yake; Tamaa mbaya zimo ndani yake; Dhuluma na hila haziondoki mitaani mwake. Kwa maana aliyetukana si adui; Kama ndivyo, ningevumilia. Aliyejitukuza juu yangu siye anichukiaye; Kama ndivyo, ningejificha asinione. Bali ni wewe, mtu mwenzangu, Rafiki yangu, niliyejuana nawe sana. Tulipeana shauri tamu; na kutembea Nyumbani mwa Mungu pamoja na mkutano."

ZAB. 55:10‭-‬14 SUV
Mstari wa 15 unatangaza laana na Gwajima amekuwa na busara kutouweka!
 
View attachment 469623 "Mchana na usiku huzunguka kutani mwake; Uovu na taabu zimo ndani yake; Tamaa mbaya zimo ndani yake; Dhuluma na hila haziondoki mitaani mwake. Kwa maana aliyetukana si adui; Kama ndivyo, ningevumilia. Aliyejitukuza juu yangu siye anichukiaye; Kama ndivyo, ningejificha asinione. Bali ni wewe, mtu mwenzangu, Rafiki yangu, niliyejuana nawe sana. Tulipeana shauri tamu; na kutembea Nyumbani mwa Mungu pamoja na mkutano."

ZAB. 55:10‭-‬14 SUV
Hakuna urafiki kwenye hii vita,madawa huwa yanauzwa na watu tusiowadhania so hatuangalii sura,lets go makonda
 
Namuona Sheikh wa Mkoa wa Dsm kwa pembeni,kavaa jezi namba 9.Siku kadhaa zimepita,akiongoza kamati ya Amani ya viongozi wa dini ktk jiji la Dsm,alitoka ktk vyombo vya habari na kuunga tamko la RC Makonda la kupambana na dawa za kulevya(Kitu ambacho kila mwenye nia nzuri anasapoti)

Na wakasisitiza hata njia zinazotumika ni sahihi.Sheikh nafikiri alisahau ktk hao waliokamatwa yupo Gwajima,ambaye ni mjumbe ktk hiyo kamati.Huyu amekuwa anatumika sana.Alitumika wakati wa kupanda Miti Dsm vs UKUTA.

Ni aina ya masheikh ambao waliamua na wanaendelea kufumbia macho aina ya vurugu
 
Hamna kujuana kwenye kazi, Wauza UNGA sio watu wazuri kabisa, Heko MAKONDA
 
Back
Top Bottom