Huu ndio uamuzi wangu Mimi

Huu ndio uamuzi wangu Mimi

mwanaupepo

Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
98
Reaction score
22
Wakuu,
Nilitamani kusikia Sera na utekelezaji wake zikinadiwa kwenye majukwaa, mgombea kuelezea kwanini tuko hapa kimaendeleo na kubainisha vilivyotufikisha hapa na namna ya kuvitatua, pia kuelezea njia pamoja na mbinu zitakazo tumika kutekeleza ahadi zake. Hadi sasa sijasikia hivyo vikitamalaki kwenye majukwaa ya kampeni.
Nahisi ni sababu ya ufinyu wa elimu wa sisi wenyewe wapiga kwa kufuata mihemko yetu binafsi na wao (wagombea) kutumia nafasi hiyo kuleta sera za mihemko ili kututeka.

Kwakua katika mfumo wa sasa sina mgombea alie nishawishi kutoka ndani kumchagua, na kupiga kura ni haki yangu, itabidi niichague ukawa tu ili kubadilisha tu mentality ya watanzania na yawatawala kujiaminisha katika nafasi walizo kalia ili wasisahau kua dhamana yao ipo kwa wapiga kura sio mikononi mwao. Naamini hii italeta hamasa na changamoto katika maendeleo ya taifa langu la Tanzania.

Much love Tz.
 
Back
Top Bottom