Usichotaka kuelewa ni kuwa Lowasa aliwajibishwa kwa kosa la kutumia vibaya madaraka!hop tutakuwa tumeshaandikwa tena kwenye historia ya dunia kwa kutoa kihoja kingine. yaani ndani ya siku moja vioja viwili!!! uteuzi wa makatibu wakuu lakini pia rais amelalamika. kwa nini hakuchukua hatua na amesubiri miaka nane baadae ndio aseme? natabiri na tusubiri kihoja kingine pia cha watanzania kupigiwa kura.........
Ni maajabu.Wananchi tuanze kudai viwanja vyote vilivyojengwa na babu zetu halafu et ni vya ccm,ccm!vile ni vya umma.
Usichotaka kuelewa ni kuwa Lowasa aliwajibishwa kwa kosa la kutumia vibaya madaraka!
Kwa kuwa raisi alijua uzembe ule ndio maana aliunda tume huru kumchunguza! Kumshtaki ilikuwa mbaya kwa kuwa huyu hujuma yake ilikuwa matumizi mabaya ya madaraka!
Ila kumbuka raisi pia ni mtanzania na kuna kipindi alishawahi kuwa RAIA wa kawaida, anatujua watanzania tulivyo vigeugeu!
Mara fisadi afungwe, Mara mnasema hana hatia!
Leo watanzania wanamtaka mbakaji babu seya awe huru!
Chadema leo watamkataa Slaa wanamtaka Lowasa! Yaani nyinyi hamuaminiki!
Ni kioja kikubwa mtu aliyelalamikia kuwa hafai na nchi nzima leo tumpe dhamana kuliongoza!
Usijekuta ni mtu yule yule. vasco anaingia hapa kwa jina la jingalao!!!Akili za jk na jingalao hazina tofauti.
swali kubwa ambalo hamtoi jibu ni kwanini mpaka sasa hamjampeleka mahakamaniUsichotaka kuelewa ni kuwa Lowasa aliwajibishwa kwa kosa la kutumia vibaya madaraka!
Kwa kuwa raisi alijua uzembe ule ndio maana aliunda tume huru kumchunguza! Kumshtaki ilikuwa mbaya kwa kuwa huyu hujuma yake ilikuwa matumizi mabaya ya madaraka!
Ila kumbuka raisi pia ni mtanzania na kuna kipindi alishawahi kuwa RAIA wa kawaida, anatujua watanzania tulivyo vigeugeu!
Mara fisadi afungwe, Mara mnasema hana hatia!
Leo watanzania wanamtaka mbakaji babu seya awe huru!
Chadema leo watamkataa Slaa wanamtaka Lowasa! Yaani nyinyi hamuaminiki!
Ni kioja kikubwa mtu aliyelalamikia kuwa hafai na nchi nzima leo tumpe dhamana kuliongoza!
Akili za jk na jingalao hazina tofauti.