Huu nao tuite ulevi au ?

Judgment

Member
Nov 1, 2011
45
13
Wakishtuka ishakua milango ya saa 11 alfajiri bado wapo klabu na wako bwiii kisawasawa, na ndy wanaamua kurudi hom, walevi hao wawili majirani, mbalamwezi angavu ikiwa inaangaza mashariki ya uelekeo wao, mambo yakawa hivi :
Mlevi 'A':- Aisey leo 2mepitiliza muda wa kunywa wife ataniletea mikelele yake.
Mlevi 'B' :- Kw nini akukoromee shem?
Mlevi 'A':- We huoni kule juu hadi jua limechomoza 2ko huku.
Mlevi 'B' :- We bwn ndy mana nakukatazaga ucnywe mikonyagi inakulewesha vby! Ule ni mwezi sio jua.
Mlevi 'A':- We ndy umelewa mi na uhakika lile ni jua
Mara wanapishana na mtu (bila wao kujua m2 huyo ndy alikua bwii zaidi kuliko wao)
Mlevi 'A' :- Tena en'hee huyu jamaa ata2malizia ubishi we2, eti mzee 2saidie sisi 2meshabishana sn ule pale ni mwezi au jua?
Jamaa :- wandugu zangu mnisamehe mimi naishi Temeke huku ilala mi mgeni sasa nimeshindwa kuelewa kile ni nini! Ila cku 2kikutana Temeke mniulize tu! Lazima nitakua najua!
 
duuu,ebwanae inabidi waongeze ili wazimue.one for the road.hahahahaha...
 
duuu,ebwanae inabidi waongeze ili wazimue.one for the road.hahahahaha...
 
Back
Top Bottom