Huu mwimbo kaimba nani?

Huu mwimbo kaimba nani?

sheby dunia

Member
Joined
Jul 12, 2018
Posts
78
Reaction score
83
"Mariano Mariano nilikua nampango mmoja ,nikaingia kwa benk nikashika risasi nikasema lala chin bas mm uyo basi mm uyo nikaubeba mzigo naendesha gari na zinanyesha kama mvu"

Kma nmekosea mtanirekebsha uo mwimbo mara mwsho nolimsikia msanii wa bss akiimba 2015 sijui jina ila naupenda Sana mweny kuujua anijuze
 
Hizo lyrics zina gap
 
Back
Top Bottom