navigator msomi
Senior Member
- May 8, 2018
- 199
- 268
Punguza hasira mtoto mzuri 😅Halafu baadae mnaanzisha nyuzi za kutukana masingo maza na non bikraz nyooh!
Wewe singomaza niniHalafu baadae mnaanzisha nyuzi za kutukana masingo maza na non bikraz nyooh!
Wananikera!😒Punguza hasira mtoto mzuri 😅
Ndio kwani ni ulemavu nyoh!Wewe singomaza nini
Mbonq kama umepata hasra
achana nao ishi life lako uenjoyWananikera!😒
Kumbe jamaaa aligusa kidonda duuhNdio kwani ni ulemavu nyoh!
I second u, amnyooshe na mkewe apunguze kisirani!Inawezekana ukawa unapoteza mke wa maana sana kwa sababu ya vimini.
Nakushaurh yafuatayo
1. Acha ujinga
2. Lea mkeo na mtoto wako (acha kutengeneza single mother pamoja na watoto wa mitaani kwa sababu za kipuuzi
3. Achana na chemistry ya darasani, hapo tayari mmeisha compose family acha kuidecompose, mmeisha bond tayari.
4. Kama wazazi wako hawakuishi aina ya maisha unayotaka kuishi basi acha kuleta laana katika familia, na kama wameishi kwa kutengana tengana hvo jaribu kuondoa hyo laana katika lango lako kwa kuepuka upuuzi huo.
5. Sikujui na hunijui, acha upumbavu na acha utoto, huyo mwenye kemia unayemtafuta akishndwa kukupa mtoto utadhani mtakuwa watu au mtakuwa organic chemistry.
6. Kaeni chini mpange maisha jinsi ya kuendesha familia yenu.
KAMA UNA KINGA'SITI HUKO, MWAMBY AJIHESHIMU MAANA UNA FAMILIA.
MWAKA WAKO NI WA BARAKA SANA
Mwanamke mbaya hakuzalii mtoto ni basi tu hujagundua hiloIko hivi ,nilihamia hapa dsm mnamo mwezi wa saba mwaka jana nilivofika kuna dem nilisoma nae chuo tukadate kidogo then after mimi kumaliza chuo nikamtema coz hakua chaguo zangu ..
Sasa nilivokuja hapaa, akawa amenicheki akaniambia yeye yuko moro...ni muda mrefu sana hatukua tumewasiliana kama miaka minne hivi tangu tumalize chuo.
Alivonicheki plus upweke na upwiru wa ugeni hapa dar ikabidi nimuite walau nipunguze upwiruu..
Alivokuja nimepiga hiyo cku karudi job kwake baada ya wiki tatu ananiambia ana mimba,nikasema sio shida
Alivokaribia kujifungua akabeba baadhi ya vyombo akaja gheto kuviacha ili aende kwao kujifungua..
Sasa alivojifungua kakaaa kama miezi minne bila mm kumfuata maana mategemeo yake kwamba nimfuate tuje tuishi pamoja...
Alivoona simfuati akaamua afunge safari na mabegi yake yote aje kwangu bila taarifa..alivofika usku nikashindwa mfukuza ikabidi nimpokee
Sasa shida inakuja hataki kutoka rudi kwao, mm moyo wangu hauko kwake na ninaona hata tukioana hatuwezi kuwa na chemistry nzuri..
Nishajaribu kila mbinu yakumtoa ila nimeshindwa cjui hata nifanyaje wakuuu...aaaaah nachoka mwenzenuu
Unasemea mwaka kesho au mwaka jana mwamba?Iko hivi ,nilihamia hapa dsm mnamo mwezi wa saba mwaka jana nilivofika kuna dem nilisoma nae chuo tukadate kidogo then after mimi kumaliza chuo nikamtema coz hakua chaguo zangu ..