Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,039
Bora ahamie East Africa Radio ndo hakuna huo upuuzi lakini sio efm maana huko kumejaa upuuzi wa wavuta bangi watupu na miziki ya ajabuajabu...... ImooooooooooooooUkiwa mkubwa hamia efm huku huo upuuzi haupo
Tatizo huku marundwe E fm haikamatiUkiwa mkubwa hamia efm huku huo upuuzi haupo
Wanakeraa na viujinga vyao hivi sema hawajui tuBora ahamie East Africa Radio ndo hakuna huo upuuzi lakini sio efm maana huko kumejaa upuuzi wa wavuta bangi watupu na miziki ya ajabuajabu...... Imoooooooooooooo
Nilianza kuisikiliza bada ya kuona matangazo kibao, promo kubwa lakini vipindi kama debe tupu.. Mule wana kipindi kimoja tu cha asbuhi cha michezo.Wanakeraa na viujinga vyao hivi sema hawajui tu
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hizi redio nazo hata hazina management ya kusimamia maadili.
E fm kuna presenter mmoja najiita bikira wa kisukuma, sasa kama mpo barazani mnasikiliza redio wewe na mama ako alaf unasiji kijitu kinajitambulisha eti utakuwa na mimi bikira wa kisukuma.
upumbavu kabisa