ubishoo ukizidi unakuwa shoooga.
Ili afiche miguuSasa hapo kuna haja gani ya kuvaa suruali.
Hahahahaaa! Haya bwanaIli afiche miguu
Dah mkuu ujue icho pia ni kipaji eehWewe huvai mlegezo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wakati ule damu bado changa ilikuwa hata ukiona futi la mguu wa bint mpini unakufyatuka inabidi uupekeche na kuupinda penye chupi imara ya VIP na wakati mwingine inashindikana inabidi uupachike kwa kuusimamisha penye mkanda sasa siku hizi vijana wanavaa hivi na usumbufu hakuna sijui ndio chips yai hili!
VIZAZI VIJAVYO (OFFSPRING) VINAWEZA KUZALIWA HIVYO KWA MUJIBU WA NEED THEORY OF EVOLUTION YA LAMARK