huu mguu umepitiliza....

Halloo!!!vipi uko tayari kuniunga mkono kwa swala la syria...
 
Sio kwamba amekosa ustaarabu, vitendo vyake tu vinakuonyesha sio mstaarabu kwa mtu mstaarabu hata kwake hawezi kufanya hivi achilia mbali ofisini kwake
ingekuwa bongo wangekuambia kakosa ustaaarabu, kwa huyu mnaona sawa tu............double standard
 
Reactions: kbm
Amejisahau kwani alikuwa anazungumza mambo nyeti sana!!!
 
Naona Kagame anakupa shida tutamfundisha adabu usiogope peleka vifaru hapo mpakani mambo yatafanikiwa huo ni mkoa mmoja tu usikupe shida.
 
Hivi zile sigara anazovuta wamewahi kuzikagua kweli?
 
Neno la kipuuzi likiongelewa kizungu
Mswahili anaona ni sawa tu.

By JK Nyerere.
 
iyo ni namna ya kuwakumbusha wafanyakazi ktk ofisi yake kuwa yeye ndio top na akuna wa kumwambia ki2
 
Neno la kipuuzi likiongelewa kizungu
Mswahili anaona ni sawa tu.

By JK Nyerere.

...kwa ujinga kama unaotokea dodoma, hii itabaki kuwa kweli siku zote hata kama hatutaki...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…